Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO KM 1.2 KUTOKA MBEZI MAGUFULI TERMINAL #150k
INA....๐
=Chumba Master
=Sebule kubwa
=Kibaraza chako
=Luku yako
=Maji ndani
=Public toilet nje
=Caro la vyombo nje lako
BEI NI TZS 150,000/-x4 MALIPO NI MIEZI MINNE NA KUENDELEA
USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 5 AU BODA 1000 LAKINI PIA UNAWEZA TEMBEA TOKA KITUONI MBEZI DK 15-18 KAMA UNAPENDA MAZOEZI
SERVICE CHARGE TZS 15,000/-
AGENT COMMISSION APPLIED
CALL 0659244543