Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 100,000/= × 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#KIBARAZA KIZURI
#UMEME 10,000 KWA MWEZI
#MAJI YAPO NJE NDANI YA FENSI
#FENSI KUBWA
#PARKING
BEI NI 100,000/= × 6
🏘️ APARTMENT HII IPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000 NA MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
0719969102