Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
๐น๐ฟ Apartments Nzuri za kisasa zinapangishwa, MBEZI KIBANDA CHA MKAA
๐ Kodi ni Tsh 200,000/= ร5
#Umbali wa lutembea dakika 15 tu kwa miguu
_________
___
โข Chumba Cha kulala
โข Sebule
โข Jiko zuri
โข Choo Cha Ndani
* Inajitegemea UMEME
* MAJI yanatoka Ndani
* Haina fensi ila eneo salama
* Feni
____________
*MUHIMU SANA:-*
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 200,000/=
#Gharama ya kupelekwa kuona ni Tsh 15,000/=
โ:- 0753172516