Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(160,000X3) MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA MPYAA MPYAAA INAPANGISHWA BEI NI 160,000/= X 3
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#LUKU METER YA UMEME
UNASHEA WAWILI NA YA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANIN
BEI NI 160,000/= X 3
💫💫 APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI 700 BODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453