Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZULI INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
# CHUMBA MASTER
# SEBULE
# JIKO
# UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA AINA FENCE
BEI NI 200,000/=x6
ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA NYUMBA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1
USAFIRI UPO BAJAJI 700
BODA 1000
NDANI YA FENSI , PAVING UWANJANI
====
CONT
0683234124
0718367179