Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA UHAKIKA NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
BEI NI 150,000/=X 6
UKIIPENDA NYUMBA HII NDUGU MTEJA UTALIPIA PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 1 MOJA NA NUSU BILA KUSAHAU SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
đź’«đź’«APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI