Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


250,000 x6 0781 418 437 pg 0679 956 863 WSP
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#HEATER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 250,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI NJIA YA KUELEKEA MAKABE KUPITIA MADUKANI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
0781 418 437
0759151524