Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
BEI NI 200,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
โโ HAKUNA JIKO โโ
#KIBALAZA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#PAVING
BEI NI 200,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637