Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZR SN ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO DARESALAAM TZ πΉπΏπ ENEO MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 10/15
HAPA ZIPO APARTMENT NNE ZIMEBAKIA APARTMENT MBILI TU
ZENYE
VYUMBA V2 VYA KULA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA SN JIKO ZULI LA KISASA LINAWWKWA MAKABATI YA CHINI NA JUU
TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI NNE 400K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
####0655256419
###0760830706