Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(200,000 ร 3) ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐ ๐ช๐๐ฆ๐๐ข ๐ฅ๐ข๐จ๐ก๐ ๐๐๐ข๐จ๐ง ๐ฌ๐ ๐๐ข๐๐
APARTMENT NZURI SANAAA NA BEI KITONGA INAPANGISHWA
APARTIMENT HII IPO MBEZI MWISHO KUTOKA ROUND ABOUT YA GOBA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DK 5 BODA BUKU
MUUNDO WAKE
CHUMBA MASTER SEBULE na JIKO ZURI LENYE MAKABATI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
ZIPO NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI FULL PAVING BLOCKS
KODI 200,000 ร 3, 6, 12,
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300