Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: MBEZI KWA MSUGURI
# CHUMBA MASTER
# SEBULE KUBWA
# JIKO LA NNJE
# UMEME UNAJITEGEMEA
# MAJI NI BUREE
BEI NI 140,000 ร 4/5/6
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA NYUMBA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 2
USAFIRI UPO BAJAJI 700
BODA WAZI
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp