Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENTS 4 zinauzwa Milioni 49 maongezi yapo
šZipo MBEZI MWISHO MAKABE CENTRE - Dar es salaam - Tanzania
āApartment mbili ni Sebule na Chumba master
āApartment 2 ni chumba chumba kila Mpangaji analipa kodi Elf 50 kwa kila chumba
āMakusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (200,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (2,400,000)
āApartments zote 4 zimejaa wapangaji
āPlot size Sqmt 600
āDocument Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
*Bei shilingi milioni 49 maongezi yapo*
āļø0788 077337 āļø 0625 637254