Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZULI YA KIBABE INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURIπ₯π₯
SIFA ZAKE
VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO SAFI LA KISASA
CHOO CHA NDANI
UMEME UJITEGEMEA NA MAJI
BEI NI 600,000/=Γ6
ILIPWE LAKI SITA KODI YA MIEZI SITAπ₯π₯
KUTOKA MOROGORO ROOD KILOMETA 2 BARABARA LAMI YA ZEGE MPAKA GETINI USAFILI UPO BAJAJI 700 BODA 1000
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE NA PARKING KUBWA YA KUTOSHA
NYUMBA ITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA TAREHE 1/6/2025
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp