Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT AT MBEZI MWISHO๐
๐
#VYUMBA VWILI VYA KULALA,
KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET
KODI..450,000X6 โ๏ธ
๐ซ๐ซNYUMBA HIZI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA ZONE UMBALI KUTOKA STENDI HADI KWENYE NYUMBA NI 1KM AU DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA BILA KUPUNGUA
๐ฅWAHI TU WAHI HAPAAA
CHELEWA UKUTE MANYOYA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343