Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
FULL FURNITURE APARTMENT FOR RENT
🌟 APARTMENT HII INAPANGISHWA NA VITU VYAKE VYA SIKU AU KWA MIEZI 3
(1) PER DAY (KWA SIKU) BEI NI 70,000/= TSH
(2) PER MOUNTH (KWA MWEZI) (,1000,000/=TSH
ILIPWE MILIONI MOJA KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA KOTE FULL
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ULINZI
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KWA MATANGAZO YAKIBIASHARA+whatsup+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni sana dalalimichaelkanyerere_mbz_kmr
maikokanyerere904@gmail.com