Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI, UPANDE WA WILAYANI #
‼️Chumba cha kulala, sebule Choo ndani ( MASTER)
Kodi 120,000 Kwa mwezi × 5-6
Kina nyumba Inajitegemea umeme, maji ni bill na yanaflow chooni na
Fensi itajengwa mbeleni
Umbali km 1.5 Usafiri upo
Bajaji 700
Pikipiki 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0710614924
#0688653940