Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAAUPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UPO MUDA WOTE. NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 1 (100,000/=) TUU NDUGU MTEJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0716 776247