Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA MAJI BARIDI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA NJIA YA KUELEKEA MAKABE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
π₯NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
KWA MATANGAZO YAKIBIASHARA+WHATSUP+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni sana dalalimichaelkanyerere_mbz_kmr
maikokanyerere904@gmail.com