Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA MAJI BARIDI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA NJIA YA KUELEKEA MAKABE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
0753 989554
0773700963
÷÷÷