Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
#Repost Dalalimbezibeach_semba
• • • • • •
Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Sinza
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 4
☑️Karibu Sana Na Lami
☑️Chumba Sebule Jiko Na Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Maji Usafi Ulinzi Taka Ni Bure
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa Dalalimbezibeach_semba
Whatsapp: 0718 759287
Call: 0685 006223/ 0718 759287
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size zote