Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Apartments Zinauzwa Tabata Kinyerezi Mwisho.
Ukubwa: Sqm 1000
Bei: Mil 150
- Apartments ndani zipo tatu
- Zote zinawapangaji
- Jumla ya makusanyo ni 1,000,000/= kwa mwezi
- Huduma zote za kijamii zipo
- Panafikika bila shida
- Ni dakika 5 kutoka kituoni
Ni fursa kubwa kwa wawekezaji.
Unaweza nunua na kuendelea kuchukua kodi au ukaboresha na kuongeza kodi.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890