Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Apartment for Rent
Location Tabata Relini Mwananchi Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 170000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Ni Chumba na Sebule Kubwa
Choo ndani
Luku Sub mita
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Dirisha shata
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565