Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Kali
Location Ubungo Makoka External Road Maji Chumvi External Road Usafiri ni Bajaji na Daladala Ukishuka Dakika 3 Kutembea
Kodi 350000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Chumba na Sebule
Jiko
Public toilet ndani na Nje
Luku yake
Fully A/C
Hita Maji Moto na Baridi
Electric fancy
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Apartment zipo 3 Moja ndio ipo wazi
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565



















