Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Dakika 5 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 3000000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
NB Anatakiwa Mdada hapa
Piga sim Kwa Maelezo zaidi usitume sms



















