Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
#KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO #UBUNGO_MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
.
UMBALI KM 1.7 KUTOKEA KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700
.
SIFA ZAKE
=========
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO NDANI PUBLIC
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA WAPANGAJI 2 TU KWENYE FENS
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
#0712348316WhatsAp
#0769680796โ
.