Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa
Location Ubungo Riverside Dakika 8 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela
Lami Nyumba
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Ni Master Bedroom tuu
Single Room Only ❌
Choo ndani Kizuri
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565