Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam





Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Master kubwa na jiko lake
ipo kibangu riverside mtu anatoka mwisho wa mwezi huu kuangalia na kufanya malipo ruksa
nyumba ipo ndani ya fence parking space ya kutosha
maji yanatoka chooni.bei 180k
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.