Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Boda ni 1000
Kodi 150000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Ni Master Bedroom Kubwa
Choo ndani
Luku Sub mita yake
Maji Dawasa yapo Nje
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Contact:
0712500602
0755336565