Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Kibangu
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
===========
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa yapo Nje
Tank Lita 2000 wa 2
Tiles
Gypsum
Apartment zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565