Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Boda ni 1000 mpaka home
Kodi 220000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
========
Chumba na Sebule
Choo ndani
Luku yake
Maji Dawasa yapo
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0713661530_0783661530



















