Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#Apartments zinapangishwa UBUNGO KIBO
📍 Ziko 2 za Aina tofauti soma maelezo Vizuri
______
_________
📍 Gym
📍 Mashine ya kufulia ipo
📍 Wi-Fi
📍 A/c
______
★AINA YA KWANZA
* Jiko kubwa lenye makabati
* Chumba Master
#Bei 400,000/= *3
____________________________
★AINA YA PILI
* Jiko Open kitchen yenye makabati
* Sebule
* Chumba Master
#Hapa ipo ya 500,000/= na ya 550,000/= zote kuanzia miez mitatu
___________________________
★SIFA ZA ZOTE
* Zinajitegemea UMEME
* Mlinzi yupo 24Hrs
* Mtu wa Usafi yupo
* Mtu wa Garden yupo
* Maji BURE, Usafi BURE, Ulinzi BURE, usafi BURE
🚨 ZINGATIA:
1. Kodi inambatana na hela ya tahadhari (inarudishwa unavyohama)
2. Malipo ya Dalali ni hela ya mwezi mmoja
3. Kupelekwa kuona 15,000/=
0688 067 289 📞




















