Nyumba/Apartment inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISWA LOCATION KIMARA MWISHO DAKIKA 9 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala sebure na jiko bei Shilling 200,000 X 6
Inajitegemea umeme maji mnashea wawili
Nyumba ipo Kwenye fence
Kupelekwa kuona nyumba Shilling 15,000 Itadum mpaka upate nyumba Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
CALL 0659244543