Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kibaha Misugusugu, Pwani (9 acre)

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000,000

Aina

Kiwanja (Commercial Plot)

Ukubwa

9 ACRE

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

🔥 PRIME COMMERCIAL PROPERTY FOR SALE 🔥

📍 KIBAHA MISUGUSUGU PWANI

Fursa adimu sana ya uwekezaji katikati ya eneo lenye shughuli kubwa za kibiashara na viwanda vingi..
Eneo hili linatazama barabara kuu ya morogoro na nyuma linatazama morogoro road ya zamani..kitu kinacholifanya kuwa mahali mkakati kwa biashara kubwa na uwekezaji wa muda mrefu.

📐 Ukubwa wa Eneo: ekari 9
📄 Hati: Safii kabisa (Title Deed)

Bei: bil 2 tsh

🏗 Eneo linafaa kwa miradi mbalimbali ya kibiashara kama:
• Yard ya mizigo
• Godowns / Warehouses
• Filling Station
• Hospital au Medical Center
• Logistics Hub
• Au uwekezaji mwingine wowote mkubwa wa kibiashara

✨ Location yenye thamani kubwa inayokua kila siku.
Hii ni fursa ya kipekee kwa mwekezaji anayetafuta eneo la kimkakati karibu na na viwanda vingi kama kiwanda cha plastic, chuma, mafuta nk...pia ni jirani na wakala wa vipimo
Usikose nafasi hii ya uwekezaji.

📞 Mawasiliano:
Call / WhatsApp 0712531657
0789731695

Similar items by location

Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kibaha Misugusugu, Pwani (9 acre)
  • 9acre

Sh. 2,000,000,000

🔥 PRIME COMMERCIAL PROPERTY FOR SALE 🔥📍 KIBAHA MISUGUSUGU PWANIFursa adimu sana ya uwekezaji katikat...

Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Misugusugu, Kibaha, Pwani (8000 sqm)
  • 8000sqm

Sh. 400,000,000

PLOT NZURI SANA KIBIASHARA INAUZWA IPO KIBAHA MISUGUSUGU PWANI...INATAZAMA BARABARA KUU YA MOROGORO ...

Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kibaha Misugusugu, Pwani (9 acre)
  • 9acre

Sh. 2,000,000,000

🔥 PRIME COMMERCIAL PROPERTY FOR SALE 🔥📍 KIBAHA MISUGUSUGU PWANIFursa adimu sana ya uwekezaji katikat...

Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Misugusugu, Kibaha, Pwani (9 acre)
  • 9acre

Sh. 2,000,000,000

🔥 PRIME COMMERCIAL PROPERTY FOR SALE 🔥📍 KIBAHA MISUGUSUGU PWANIFursa adimu sana ya uwekezaji katikat...