Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya


KIWANJA KWAAJILI YA BIASHARA NA MAKAZI,
SQM. 2,299, TSHS.450 MILIONI, SALASALA.
Hiki Kiwanja kinaangalia Barabara ya LAMI.
SALASALA.
Ni umbali wa wastani wa kilomita 4 kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Utaamua wewe sasa;
Ujenge Makazi yako au Uweke Biashara.
KIWANJA KINA HATI (Title Deed) ya Wizara.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________zw