Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya


OFA BADO ZINAENDELEA
✅BAGAMOYO KEREGE sqm moja 20,000 cash na 22,000 installment kuanzia sqm 550 na kuendelea
(HAPA KEREGE kuanzia 25 kwa 22 na kuendelea)
Unaweza ukalipa yote cash au ukaanza na nusu nyingine ukalipa kidogo kidogo ndani ya miezi sita
✅KIBAMBA SHULE UNAPATA KIWANJA BEI YA OFA sqm moja 22,000 cash na 25,000 installment kuanzia sqm 400 na kuendelea
UNAPATA KIWANJA (20 kwa 20) KUANZIA 8,800,000
Umbali toka lami ya kibwegere road km 3
Kwa pikipiki nauli 2000 hadi site
Unaweza ukalipa yote cash au ukaanza na nusu nyingine ukalipa kidogo kidogo ndani ya miezi sita
✅KIBAHA VISIGA MADAFU UNAPATA KIWANJA sqm moja 8,000 cash na 12,000 installment kuanzia sqm 440 na kuendelea
(UNAPATA KIWANJA KUANZIA 3,520,000)
Unapata kiwanja na miti ya matunda
Kutoka lami ya Morogoro road ni km 1 tu
Kutoka lami ya zegeleni ni mita 300 tu
Unaweza ukalipa yote cash au ukaanza na nusu nyingine ukalipa kidogo kidogo ndani ya miezi sita
✅BAGAMOYO MAKURUNGE NJIA PANDA YA SAADANI unapata kiwanja chochote kwa 3,000,000 MILIONI TATU TU (SQM 400, SQM 400+ hadi SQM 500+)
Unaweza ukalipa yote cash au ukalipa 250,000 kila mwezi miezi 12 kumi na mbili (mwaka mzima)
Umbali toka lami ya Bagamoyo road ni km 2
✅ KIGAMBONI KIMBIJI PUNA sqm moja 9,500 cash na 12,000 installment kuanzia sqm 382 na kuendelea
Unaweza ukalipa yote cash au ukaanza na 500,000 LAKI TANO alafu nyingine ukalipa kidogo kidogo ndani ya miezi kumi na nane 18)
✅Kigamboni mwembemdogo sqm moja 18,000 cash na 20,000 installment kuanzia sqm 429 na kuendelea ( hapa installment unaanza na nusu ya bei nyingine ndani ya miezi sita)
✅KIGAMBONI RAS BAMBA (Second beach plots) bei ni 40,000 kwa sqm malipo ya cash na 45,000 kwa malipo ya awamu miezi 6
Ofisi zetu zinapatikana:
Mwenge Bamaga,
jengo la Dora tower
floor ya nne
📞☎️: 0768579000