Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya


𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐊𝐈𝐍𝐀𝐔𝐙𝐖𝐀 (BAGAMOYO UKUNI)
- KM 1 kutoka barabara kuu (Bagamoyo road)
- Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1,400
- Kipo karibu na Mahakama ya Wilaya Bagamoyo, Bank ya CRDB ,chuo cha ufundi mlimani na chuo cha Record kınafaa kwa biashara pia
- Huduma muhimu kama Maji, umeme vipo tayari (mji umejengeka)
- Kiwanja kina hati ya wizara
BEI;
Ni Tsh 35.,500,000/= (Shilingi milioni thelathini na tano na laki tano tu )maongezi yapo
Kwa mawasiliano zaidi piga/WatsApp
0749 060677
EPUKA migogoro wekeza kwa usalama.