Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, Mbeya


SHAMBA LA MIFUGO, EKA 60,TSHS450 MILIONI, MWAVI-BAGAMOYO.
Ukubwa wa Shamba lote ni Eka 60.
ZIMEPIMWA.
Eka 1 tu inatumika kwa sasa.
Ipo ndani ya Fensi na MIFUGO HAI ipo.
INAUZWA ARDHI,MIFUGO NA MIUNDOMBONU YOTE.
Eneo ni BAGAMOYO.
Umbali ni kilomita 100 tu kutoka Da es salaam ( 2:20 🚙)
Na ni-kilomita 2 tu kutoka Barabara ya MWAVI.
HAPA PANAFAA KWA SHUGHULI ZA VIWANDA PIA.
Kuna:
●Ng'ombe 50 -Jumla, Asili/Wa-Kisasa
●Mbuzi na Kondoo-Jumla 400 Wa Asili
●Mabanda ya Ng'ombe/Mbuzi/Kondoo
●Nyumba ya Wafanyakazi
●Nyumba ya Kisasa ya Ghorofa (Haijakamilika)
Tanki kadhaa za kuhifadhi Maji zipo.
Umeme Mkubwa upo jirani.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.100,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.