Kiwanja kinauzwa Baraa, Arusha


Baraa, Arusha CBD, Arusha
8 months ago
Sh. 170,000,000
HILI SASA NI BARAA
GHOLOFA MBILI NDANI YA KIWANJA KIMOJA ZOTE KWA PAMOJA ZINAUZWA
GHOLOFA ZIPO CHANIKA MANISPAA YA ILALA MTAA WA NYEBURU
INA UKUBWA WA SQM 2000
BEI MIL 170
YAKWANZA INA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER
YA PILI INA INA VYUMBA V2 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER
NYUMBA ZINA TITTLE DEED
KARIBU SANA MTEJA