Kiwanja kinauzwa Bigwa, Morogoro


Ofa ofa ofa
Shamba nzuri linapatikana BIGWA MKURANGA
Bei ya shamba?
Tsh4,500,000 kwa heka jumla TSH 22,500,000
Ukubwa wa shamba?
Heka 5
Umbali kutoka barabarani?
KM 1
Huduma za kijamii?
Maji yapo na umeme upo
Majirani wapo pembeni ya shamba hili
Document?
Hati ya mauziano kutoka serikali ya kijiji
Shamba hili sio mali ya URITHI
Gharama ya Site visit?
Tsh 30,000
Utaratibu wa kutembelea site?
piga simu kwenye namba hii 0785367831
Au whatsapp 0769355987 kupanga appointment ya siku ya kutembelea site.