Kiwanja kinauzwa Boma, Morogoro
BOMA LINAUZWA NUNGWI MAAFA MJI MPYA
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani mita 800
Umbali kutoka kiwanja kilipo mpaka Barabarani Mita mita 500
Vyumba 3 (Master 2) Living Room, Jiko, Stoo, Public Toilet.
Ukubwa wa Kiwanja Mita 20x20
Bei Tsh 33,000,000/= Milioni thelathini na tatu
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za Boma, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hili Boma lipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka Boma lilipo mpaka Beach/Pwani Mita 800
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
#sisiniwahadhizote