Kiwanja kinauzwa Boma, Morogoro
Kiwanja kinauzwa chenye boma la vyumba la vyumba 3 na sebule. Bei milioni 6 maongezi kidogo yapo, Kipo vikindu vianzi, hicho Kiwanja eneo lake lina ukubwa wa futi 40 kwa 50. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.