Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


#NYUMBA NZURI SANA INAUZWA BUNJU "B" - DAR ES SALAM ( KINONDONI MUNICIPALITY).
✅Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
✅Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED )
✅Ukubwa Wa Eneo: SQM 500
✅Umbali: Meter 800 Tu Kutoka Barabara Ya Lami (Bagamoyo Road)
✅Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
✅Bei : 120 Million (Maongezi Yapo
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0625637254 ☎️0788077337