Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


KIWANJA KILICHOPIMWA,SQM.1,200,TSHS.50 MILIONI, BUNJU-A,MKOANI.
Ni mbele kidogo baada ya Shule ya FANAKA
Hapa ni wastani wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Kiwanja kipo juu eneo ambalo majirani unawaangalia kwa Chini.
Mtaa umejengeka vizuri na kwa mpangilio.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
___________wFn