Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


12/10/2024
*KIWANJA NDANI FENSI KINAUZWA TSH milioni 83 maongezi yapo 📍Kipo BUNJU BEACH MOGA*
-Neighborhood mtaa umejengeka vizuri sana na nyumba za kisasa
-Kiwanja kimekamata barabara ya mtaa unaweza kujenga nyumba ya kuishi, apartment, Nk
*Ukubwa wa kiwanja ni Sqmt 830
-Document: Clean TITTLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya ardhi)
◇Umbali kutoka barabara ya lami ni mita 100 tu
*Bei Tsh milioni 83 maongezi yapo*
Contact WhatsApp +255 713958553
Call 0713355828 au 0616651976
Sevice chage elfu 50