Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
๐ก๐ BUNJU B - (Kiwanja cha Pili kutoka Barabara Ya Mabwe)
๐ Ukubwa: 2300 Sqm
๐ Hati: Kimepimwa na kina Hati Halali kutoka Wizara
๐ Gari inafika moja kwa moja hadi kwenye kiwanja
๐๏ธ Mtaa umejengeka vizuri sana
โก๐ง Huduma za kijamii zote zipo karibu (umeme, maji, n.k)
๐ฐ Bei: Milioni 95(Maongezi yapo kidogo)
๐งพ Service Charge: TSh 30,000/=
๐ Call/WhatsApp: 0687 800 788