Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


πππππππ ππππππππ πππππ π ππππππππππ
__
Bei: TSH MIL 17,000,000/= ( Milioni Kumi na saba tu) na #maongezi_yapo.
__
KINA HATI MILIKI. Haidaiwi wala Hakina mawaa (migogoro)ukilipa unaondoka na hati yako.
__
Ukubwa SQM 518
__
Location: BUNJU B MABWEPANDE . kipo mita 500 kutoka barabara kuu ya Mabwepande na karibu na shule ya Sekondari Mabwepande kipo maeneo yaliyopimwa na serikali, majirani wakishua sana
__
umeme na maji vpo site sio vya kusubiri..
__
Piga :π0749 060677
.............................
Office:MBEZI BEACH CLASSIC MALL 2 nd floor