Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza
Kiwanja hiki kinauzwa Kiko Buswelu Nyamadoke kimepimwa kina Sqm 989 huduma zote ziko mtaa umejengeka vizuri sana Bei ml11 unaweza kulipa ht kwa awamu mbili nikiwanja namba108 tupigie 0686887297au 0767346478 nikaribu kabisa na Barabara ya Lami mpya inayoenda Nyamongoro stand