Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza
Boma hili linauzwa liko Isela Buswelu Mwanza kiwanja kimepimwa kina 25 kwa 20 Boma Lina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom jiko dining pabric toilet Bei ml6.5 mazungumzo yapo ila mafupi sana tupigie 0767356478 au 0686887297