Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza


🗣️ KIWANJA KINAUZWA 🌴
📍KIPO BUSWELU ILALILA NEBRIX
• Kiwanja kimepimwa (kina bicon)
• Kiwanja kipo location nzuri sana
• Huduma zote zakijamii zinapatikana
• Ukubwa ni 40x20 = SQM 800
BEI: MILIONI 5
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0765430905



















