Kiwanja kinauzwa Buyuni, Dar Es Salaam
*BUYUNI 16*
BUYUNI Ni saa moja kutoka ferry. Daladala zipo.
Makazi ya watu yapo.
Site hii ipo mita 800 tuu kutoka Baharini.
Mradi *upo pembeni ya Barabara kuu ya kuelekea Ferry.*
Kwa cash sqm 500 ni 6.5M.
Kwa installments mfano sqm 500 bei ni 7.5M.
*Unaanza na 625,000Tsh* hapa malipo flat rate kila mwezi 625,000Tsh kwa muda wa miezi 12 kwa sqm 500.
*Au anza na 20%* ambayo kianzio ni1.5Million then inabakia 6M so malipo ya kila mwezi ni 545,454Tsh kwa muda wa miezi 11.